Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Yes ni mimi mpendwaHuyu ndiye wewe mpendwa?
Yes ni mimi mpendwaHuyu ndiye wewe mpendwa?
Huyu Lesnar naye vipi? Anachokaga haraka sana sijui tatizo lake ni nini. Kwenye MMA akivuka tu raundi ya kwanza basi hoi pumzi ishakata [emoji16][emoji16]
Kwani shule zimefungwa?
Binti yangu alihama kabisa jukwaa hili. Sijui tulimuudhi nini....
Mpendwa picha ipi niliyoiondoa picha zote zipo fatilia commentsMi nimechelewa nimekuta ishaondolewa dah!
Hakuna kitu kinachoniudhigi kama mtu kuweka picha halafu anaitoa tena fasta? Sasa uliiweka ya nini kama haipaswi kuonwa?
Picha hii ambayo King alikushukuru. Nimekwenda mbio ili nami nione picha iliyomfanya mpaka King wetu akaaprishieti nimekuta hakuna kitu [emoji848][emoji848][emoji24][emoji24]Mpendwa picha ipi niliyoiondoa picha zote zipo fatilia comments
Nywila issues....
Kuna jamaa alimfungulia uzi majuzi hapa eti alishaRIP tangu mwaka jana. Uzi ulifutwa...