D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
tusiokuwa na wachumba tulikuwa hatujafahamu dhumuni la Ijumaa (kumbe valentine day)mfilisti mpenzi wape lokesheni yako....
Ijumaa ifike tu.
Usikwazike. Shemeji...[emoji19][emoji19][emoji19]
Hongera baba kijachoAisee kumbe tayali
location wapi?@mfilisti mpenzi wape lokesheni yako....
Ijumaa ifike tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keshaona yupo anatunga ka msemo
Hapa fresh bro, vipi huko?Kwema bro?mambo yanaenda pande hizo?
tusiokuwa na wachumba tulikuwa hatujafahamu dhumuni la Ijumaa (kumbe valentine day)
haya bibi harusi kakojoe ulale tena usubirie Ijumaa na huyo mchumba wako mwenye mapengo kama kichwa cha TRUMP.
hapa sijaelewa hii code ya javanasubiria makei mimi.