D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
leo nataka niangalie mpira wa Tanzania kwa mara ya kwanza (ligi kuu)
hivi wachezaji wanakuwa wangapi uwanjani?
www.jamiiforums.com
hivi wachezaji wanakuwa wangapi uwanjani?
Kuelekea mechi ya VPL: Simba SC na Mtibwa Sugar. Itakuwa mechi kali kuwahi kutokea VPL
Kuelekea mechi ya VPL' Kikosi cha Simba SC, leo Jumapili ya February 9, 2020 kimewasili salama mkoani Morogoro kikitokea jijini Dar es salaam wakiwa tayari kuwakabili Mtibwa Sugar, Jumanne ya February 11, 2020 kwenye uwanja wa Jamhuri Stadium katika mfululizo wa ligi kuu Tanzania, Vodacom...