Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha ninge bana,mzima huko?

Hapa wazima kabisa

King katekwa tena

Bradha nae kabanwa na jr

Coco kanasa kwa kadada kwa kirwanda opsss kgotha asione hapa

Carba yupo kwenye maandalilizi bab kubwa ya valentine

Poti keshandaaa maua roli zima

Ndoa ya mkeka ndani ya uzi huu bado inapumua

Baba urojo kahamia kwenye wali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ha ha ha

Hapo kwa bae, ngoja kwanza maana simuelewi elewi unaweza kuta Bradhaa ameshanitilia ndimu tayali[emoji23][emoji23]

Ukimpata King na Th unakuwa umempata tayal


Binti wa Mungu ndio yule shabiki wa majongoo? [emoji23][emoji23] kabadiri jezi hata jogoo hajabeba ubingwa akibeba sasa[emoji2][emoji2]
😅😅😅😅😅😅😅
 
Hii redio kabla sijazaliwa mzee alikuwa nayo..hasa Sasa ipo.

Pasi ya mkaa ipo pia hutumika kipindi hakuna umeme ,mafundi cherehani Kama Mimi hii Ni ya muhimu Sana.

Mpira wa makaratasi ya Rambo kwa ajili ya rede na gutua(watu wa mbeya mnanielewa)

Kibatari taa yetu
Wahenga sisi
Screenshot_20200211-130824.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom