Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Baadhi hudhani kuwa kunywa pombe kali kunakata mafuta ya mwili hivyo kufanya hivyo wanaepuka magonjwa ya moyo.
Ha ha..utailipia hiyo marahabaa.. Nimewamiss pia.. Hope ni wazima kabsa.Marahabaaa ninge,umemisika sana
Hahahahaha ninge bana,mzima huko?Ha ha..utailipia hiyo marahabaa.. Nimewamiss pia.. Hope ni wazima kabsa.
Ahsante“Watu wenye matatizo ya figo hawatakiwa kutumia ndizi mbivu kwa kuwa ni hatari kwao,” anasema Mlinda.