Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna mvuvi mmoja hapa Nansio yeye Smartphone kwake ni mwiko; jamaa anatambaa na ka-flip phone kake tu aisee! Mambo yake yaani anayaendesha "The old school way". 😀😀
Marahabaaa Mishil. Habari ya leo poa kabisa. Kukoje huko? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Prof. Kezilahabi mlimzika Namagondo au Dar?Kuna mvuvi mmoja hapa Nansio yeye Smartphone kwake ni mwiko; jamaa anatambaa na ka-flip phone kake tu aisee! Mambo yake yaani anayaendesha "The old school way". [emoji3][emoji3]
Huku kuko poa kabisaMarahabaaa Mishil. Habari ya leo poa kabisa. Kukoje huko? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]