Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkwepu jr nakusalimu Sana[emoji113]

Sent using Jamii Forums mobile app
mkwepu jr huwa anajibu sometimes. Ukibahatisha unaweza kujibiwa ...
20200207_203659.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi mwenyewe huwa nafanya hivyo..maana huwa nakuwa tagged sehemu nyingi na sipati kabisa notifications au zinakuja ila si kwa wakati..
Though kwa sasa najaribu jaribu kutumia browser

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unakuwa tagged sehemu nyingi eeh!? Ndiyo shida ya kuwa famous hiyo...[emoji16][emoji16]
 
Lakini si umeweka ili tuone? Ndio maana nimesema nimeacha mimi kwenda kwa sababu siwezi kuwapangia ningekuwa naweza kuwapangia ningekuwa naenda kuwapangia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....
Umemaliza. Na hii inaenda sambamba na wale wanaoquote post then wanafuta. Unakuta Daughter of God quoted you halafu ukifungua unakutana na invalid post. Inakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imesilibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andamaneni basi
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imesilibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andamaneni basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wewe unajiamini ukiweka picha yako huitoi no mata whati. Tena ukitinga vile vitenge vyako matata mabaharia watapiga makelele weee unawacheki tu. I like a confident woman [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Afadhali wewe unajiamini ukiweka picha yako huitoi no mata whati. Tena ukitinga vile vitenge vyako matata mabaharia watapiga makelele weee unawacheki. I like a confident woman [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Yeah..
Mimi sitoagi na huwa sitishwi na mtu yeyote so long as nimeipenda na ninajiona kabisa nimependeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom