Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nikujibu nini mkuu?
Hujanijibu....!!
Miafrika ndivyo tulivyoRahisi kufahamu la kufanya kuliko kulifanya.
Weka vituzangu zinaenda slow sana....!! Ngoja niwaporomoshee....
Swali la kizushi....!! Wewe ni KE/ME...?? Pole kwa swali gumu
Watu tunakula wewe bado unanoa kisu? Pole!Mwenye kisu kikali ndo atakula nyama
Cc jakitoo cc stable woman cc Numbisa
Cha chakula kitamuNda ndani nlijificha
Toa likes zaidiHeshima yenu wakuu, kweli vita ya likes haijawahi kumuacha mwana jf salama
PambanaNataka niolee hapa hapa Jf.... Naumiza kichwa nimpende nani..??
Unipe feedback ukishasomaSubiri nitasoma nikitulia lugha ya malkia