myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duhhuoni pia ni neema kiupande wako.... wengine kila tunapoangalia drama tunahifadhi original sound track.
afadhali siku hizi nimepunguza sanaaa
Hatari... kiuhalisia wewe ulishawai ona mtu anatoa mahari ya ng’ombe wangapi?55 bro. Majike 33 na madume 22. Ndama hapana !!!
Ndoa yangu ya kwanza nilipigwa ng'ombe 68 bro. Na dadangu wa pili kuzaliwa aliolewa kwa ng'ombe 59. Ila hii ilikuwa zamani kidogo.Hatari... kiuhalisia wewe ulishawai ona mtu anatoa mahari ya ng’ombe wangapi?
[emoji23][emoji23] kwendaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1354778
Khaaa....msukuma msukumaNdoa yangu ya kwanza nilipigwa ng'ombe 68 bro. Na dadangu wa pili kuzaliwa aliolewa kwa ng'ombe 59. Ila hii ilikuwa zamani kidogo.
Na wewe ni chokleti ama?
Katika kabila lenu ishu ya mahari imekaaje?
Urembo ndio unachangia ama?Ndoa yangu ya kwanza nilipigwa ng'ombe 68 bro. Na dadangu wa pili kuzaliwa aliolewa kwa ng'ombe 59. Ila hii ilikuwa zamani kidogo.
Mimi mweusi tii[emoji16][emoji16][emoji16] hata hiyo chocolate sijui ni kitu gani. Hata mimi sijajua ulikuwa unajaribu kusemajeNa wewe ni chokleti ama?
Wanasemage "the darker the berry, the sweeter the....."...hata sijui najaribu kusema nini. Hapa ni kutoka nduki tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]