Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa ndio vinara wa mabao kwa kila timu na pointi zao walizochangia kwenye vikosi na mambo yangekuwa tofauti kama wakali hao wasingekuwapo kwenye vikosi hivyo. Mabao yao ni ya dhahabu kutokana na kuchangia pointi kibao kwenye timu zao.
 
Kwa mfano ukifunga bao la kusawazisha kwenye sare ya aina yoyote ile, hapo bao lako linakuwa limechangia pointi moja, lakini kama utafunga bao la tatu au nne kwenye ushindi wa ama 3-0 au 4-0, hapo bao lako linakuwa halijachangia pointi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…