D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sijawahi kushiriki shughuli yoyote ya utoaji mahari na sijawahi kufuatilia chochote kisichonihusu [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mvuvi hana jeuri ya kumiliki iPhone 11 Pro Max bana. Halafu Apple walivyokuwa wahuni safari hii, hii Pro Max; baada ya 64GB wakarukia kwenye 256GB. Hapo wameruka 125GB, sasa mvuvi hata kama anaitaka, 64GB haimtoshi; na 256GB hapo bila $1300+ hujainyakua dukani. Acha tu agaragazane na kaflip kake poti! 😀😀Prof. Kezilahabi mlimzika Namagondo au Dar?
Mvuvi huyu si ajabu ana iPhone mpya hii yenye kamera nne utafikiri Schwarzenegger kwenye Commando....
View attachment 1354051
😂 😂Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1354811
Sawasawa...Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini.
Duh!!Tafiti zinaonyesha asilimia 10 hadi 15 ya wanawake duniani hawajawahi kufika kileleni (orgasm).
Aisee..Ili kufikia kileleni mara nyingi mtu hutumia nguvu nyingi. Na nguvu anayopoteza mwanaume kwa mshindo mmoja tu unaweza kuitumia kukimbilia kilomita kumi. Ni vizuri wenza wanapoona kuna hali isiyo ya kawaida wafanyapo tendo la ndoa, ni vema wakahi kufika katika huduma za afya kwa ushauri na matibabu.