D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
"Amezaa iwe kwa makusudi iwe kwa raha yake au bahati mbaya, aende shuleni.., si atawafundisha na wengine?..yaani tusomeshe wazazi?..nataka niwaambie, na hizi Ngo`s na wote mnaosikia,Ndani ya utawala wangu kama rais HAKUNA MWENYE MIMBA ATAKAYE RUDI SHULENI"-MagufuliJP