D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
paper za wataalamu wetu zinaishia wapi? tuna wataalamu wengi sana lakini hatuoni mawazo yao yakitukomboaMiamba ya sayansi. Karibu kila kitu cha kitekinolojia unachotumia sasa kinaguswa moja kwa moja na mawazo ya hawa jamaa...Niels Bohr na Max Planck...
Sisi siasa ndiyo kila kitu...Acha kwanza tupige siasa....paper za wataalamu wetu zinaishia wapi? tuna wataalamu wengi sana lakini hatuoni mawazo yao yakitukomboa
ya mwakyembe na muungano wa serikali 3 kwenye andiko lakeSisi siasa ndiyo kila kitu...Acha kwanza tupige siasa....