D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mwaka huu wasiokuwa na wake/ waume tutaisoma namba kwa lugha za kirumi...
mfilisti amegonga nusu saa yake then ametafuta njia ilipo........ kama ilivyo gari haidandiwi kwa mbele basi na ndoa hivyo hivyo...
performance ya ndugu yetu imeshuka sanaaa tokea afungishwe ndoa ya mkeka.
huenda yule bibi anamuwekea ulevi wa mganga kwenye mchuzi