Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.24236377748176205E18.jpeg
 
TAARIFA KWA UMMA

Familia ya Bwana mfilisti na Bi Ayyanna inapenda kuutarifu watu wote kuwa tutakua na mapumziko mafupi kwa ajili ya siku maalum ya wapendanao maarufu kama Valentine Day.

Pia familia inapenda kuwataarifu kua tutakua na mapumziko hayo huko katika visiwa vya Bora Bora vipatikanavyo Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Tahiti.

Aidha kwa muda wote wa mapumziko mimi mfilisti na mke wangu Ayyanna tutakua katika hotel ya kitalii ya Intercontinental Le Moana Bora Bora Resort.

Tunawatakia wote heri na fanaka katika siku hio ya wapendanao
tangazo limeandaliwa na mlevi....
no romantic, no mbembelezo...

karne hii ya 21 unaandika tangazo huku unaanza na neno Familia.....

huko shule ulienda kusomea ujinga
 
TAARIFA KWA UMMA

Familia ya Bwana mfilisti na Bi Ayyanna inapenda kuutarifu watu wote kuwa tutakua na mapumziko mafupi kwa ajili ya siku maalum ya wapendanao maarufu kama Valentine Day.

Pia familia inapenda kuwataarifu kua tutakua na mapumziko hayo huko katika visiwa vya Bora Bora vipatikanavyo Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Tahiti.

Aidha kwa muda wote wa mapumziko mimi mfilisti na mke wangu Ayyanna tutakua katika hotel ya kitalii ya Intercontinental Le Moana Bora Bora Resort.

Tunawatakia wote heri na fanaka katika siku hio ya wapendanao
Pongezi kwenu wapendanao
 
Malist kama hayo huwa ngumu kukubaliana nayo moja kwa moja bro maana kila mtu anakua na mapenzi yake binafsi, ila hapo cha msingi ni kuangalia tu hiyo Top 3 na ninaona imekaa sawa kabisa hakuna longo longo. Pia kwa mapenzi yangu ningefurahi sana Remy Ma na Cardi B wangeingia Top 10
 
Back
Top Bottom