moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hongera Wakinga kwa uchapakazi wao.
Tuwaige ili kujiletea maendeleo
Tuwaige ili kujiletea maendeleo
Hata wanyakyusa wenyewe wasipo simama kwenye unafiki, watakubali kuwa wakinga ndio wameupamba mkoa wa Mbeya na songwe kwa majumba mazuri ya kibiashara na makazi
Sent using Jamii Forums mobile app