stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Ma mavi ya bata hayazoelekiMu Mungu ni mwema
HahahaahSiku hizi ukizubaa hata ndugu wanakuua ili wagawane ulichonacho. Dunia imeharibika!
Kimyakmya kama jmo tunapakua makinikiaWamejibu bla bla tu hawaeleweki
Wao ni chips tu na maembe yaliyopakwa pilipili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mura (tarime)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali. Wenye totoz zao humu watapumua!Mkuu labda andjul aende ila kwa sasa nimebaki kuwa mpenzi msikilizaji au mpenzi mtazamaji
Hatari sana hapaKwakweli uzi tunautendea haki, speed yake si ya kitoto
Na akikipata hicho atatulia jumla!Umeona chombo hiko?[emoji23] [emoji23] ashindwe yeye tu
Kumbe browser ni nzuri eeh? Basi nitatumiaNdo maana unaona likes tano. Mie naona unapata hata kumi zinafika. Natumia browser
Nimecomment Mkuu nasubiri like zanguComment upate like
Kwema kiongozi, hivi umemeshapata wife kati ya wale wa 3 uliyokuwa unawatolea macho?Safi mkuu,muda mrefu haujaonekana.Kwema?
Hamna hapo hapo tu maana mazingaombwe yanaweza kutokeaMwambie mazizi yote ya humu yanawenyewe...asubiri wageni wapya [emoji23] [emoji23]