Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wamejibu bla bla tu hawaeleweki
Wakikujibu nitag plz
Wakikujibu nitag plz
We mchoyo wa likes halafu wa kwanza kulalamika na name calling juu
Ni kweli ila usimkorofishe tu! Waulize kule jukwaa mfu la siasa watakwambia!
Hapa ni likes tuKE
wewe ni KE/ME?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mura (tarime)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nijue amewezaje kupata mtoto mkali namna hiyo...!!! Kama ni wa Tanga sitashangaa lkn kama wa maeneo mengine maswali yatazidi...!!
Wao ni chips tu na maembe yaliyopakwa pilipili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar wanapenda urojo[emoji3]
Unapita mule mule labda mtoto agome tu ila moyo umemkamataKashazidiwa uwezo analia tu kama mtoto
Uso umemjaa kamasi
Mzee leo zombie umeshiba damu
Uzi wa kulevya huu sidhani kama hatarudiAisee huku ndio likes zinamwagwa kama njugu[emoji3] [emoji3] [emoji3] by the way rudi kule bna long time mdau jmn
Numbi....
Unaharibia watu Saba saba
Jogoo la shamba haliwiki mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Endelea kudhani DDIRTY HEAD.[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waswahili walisema adui muombee njaa...nakuona ujue[emoji23] [emoji23]
Mwambie mazizi yote ya humu yanawenyewe...asubiri wageni wapya [emoji23] [emoji23]Pambana
Kwakweli uzi tunautendea haki, speed yake si ya kitotoKaribu tena mkuu.
Speed ya huu uzi mods wanajua shughuli yake
Siku hizi ukizubaa hata ndugu wanakuua ili wagawane ulichonacho. Dunia imeharibika!Mtumaini cha ndugu hufa maskini.