ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaMnapoza damu wadau., changamsha dole gumba hilo...!!
HahahahaMnapoza damu wadau., changamsha dole gumba hilo...!!
Kama yupo unpair atoe dukuduku maana kuna vijana naona wanakusumbua kwa mtoto wako.Unauliza majibu bageshi? Humu na ndoa zitakuja kufungwa humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa huu upendo naokupa nikisema niongeze ntakua nakufuruKwangu naona likes tano tu wadau hatupendani
Ti titi la mamago gogo la mti
Wa hizi namba za comments. Angalia pemben ya comments zako utaona nambaMshindi wa likes?
Una udugu na Mpoto?Ndugu mtambie usimkalie.
Ndivyo hivyo japo sehemu zingine ukisema ubwabwa wanaon sawa na wali tuOooh ooo
Na ubwabwa I guess ni hivyo hivyo.
Ti tina na mjubago gogo la mti
The one and onlyDada kama ISIS
HuhuhibuMzigo huwa mzito karibu ya nyumbani.
Uku kuna wanawake wazuri sana
kula like hio kudadeki zakotupia like wewwww,,, acha uzembe
Mpenzi mtazamaji au mpenzi msikilizaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] mpenzi whaaaaat??
@Cocochannel mtaalamu wa misemoDada kama Cocochannel ni mzuri wa tabia na sura
Hivi hizi couple za humu ni za ukweli ukweli au?