cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Huo maji yakiwa mengi
Oooh ooo
Na ubwabwa I guess ni hivyo hivyo.
Huo maji yakiwa mengi
Moyo umekuwa wa chuma kwa kweli labda hadi ganzi iishe maana i don't feelKichwa njoo uchukue mchumba huyu nimekutafutia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali ya sasa kula ni lazima. Hata usipomla mijibaba midowezi itamtafuna tu. Ni yale yale ya wewe wasubirisha embe liivie mtini, wenzio wanalila kwa chumvi!Eeeeh
Wanapendeza shaaa
Hivi si alisema bado yuko B
Ben ameshajilia au anasubiri ndoa?
Hazifiki tu na nina mwaka sasa. Sijui tatzo ni niniNjoo hjmu utapata mia kidogo
Kwa fake ID hizi ngumu bana
Kwa nini zisiwe za kweli,,,??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mpenzi whaaaaat??Usiwabanie riziki we acha wajaribu bahati zao.
Maana saivi nimekuwa Mpenzi Mtazamaji
Nakwambia ni shida. Eti mijibaba imepanga foleni km 20 inamsubirisha Jakitoo. Hii si hatari hii. My life might be in danger Carpa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] mijibaba minyatiaji haiishi humu ndani
Yote imeniletea card kwa pamoja eti wanaolewa.Bora angejibu shimba ningeanza amini ila wewe hamna bana una michepuko mia kidogo
zawadi gani kwanza guzman isije ikawa bomu nkalipuka shimba akanikosaNikuletee saa ngapi
Hahahaa
Bagoosha,Nasubiria pilau kwa hamu ndo niaminiUnauliza majibu bageshi? Humu na ndoa zitakuja kufungwa humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuuwiiii kumbe leo kulikua na test...asante japo nilikua sina habar najua test ni hadi 150k
Mi nimetulia na Cole mbona?nampenda Cole wangu jamanCarpa tulia. Yaonekana bado mapenzi ya Kichwa yanapwita pwita eeh? Huyo Cole naye kulala lala tu. Najua ana Malaria lakini mijibaba ya hapa midowezi haijali kama unaumwa ama la. Hata kama mtu unakata roho yenyewe ipo tu inamendea. Mwamshe!
Subiri itakavyoyoyoma!Weekend ndefu hadi raha
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Twende nikupeleke 7 7 basi ukapoze machungu[emoji23] [emoji23] mana Cole kalala saiv