Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pole ila huo mwaka umefikisha lini?wakat juni 20 bado sana weuweeHazifiki tu na nina mwaka sasa. Sijui tatzo ni nini
Pole ila huo mwaka umefikisha lini?wakat juni 20 bado sana weuweeHazifiki tu na nina mwaka sasa. Sijui tatzo ni nini
Hata mimi nilikua sijui kwakweliKumbe leo kulikuwa na challenge.
Sikujua kabisa.
Pongezi kwako
Kuwa makini hahahazawadi gani kwanza guzman isije ikawa bomu nkalipuka shimba akanikosa
Kichwa usiniangushe!Kichwa njoo uchukue mchumba huyu nimekutafutia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ata siyo bomu bibie na punguza wasiwasi siwezi kulipua mrembo kama wewe maana itakua hasara kwa duniazawadi gani kwanza guzman isije ikawa bomu nkalipuka shimba akanikosa
Mshindi anapatikanaje?Hata mimi nilikua sijui kwakweli
Pole sanaMoyo umekuwa wa chuma kwa kweli labda hadi ganzi iishe maana i don't feel
Mi mimi mdogobu bubu hasemi
Kitu kinarushwa rushwa mpaka kinakaa sawaKuuweka tu huu ugali kwenye sahani namna hiyo inahitaji ufundi.
Pambana mkuu.Jakitoo, what is going on bebi? Mbona foleni ndefu hivi ya hii mijibaba midowezi mizembe miharibifu? Km 20? Real? Si nitakuja kuuliwa mimi?
YupKitu kinarushwa rushwa mpaka kinakaa sawa
Wanaweza kukuvizia et?ongeza ulinzi kwa jakitoo na wewe mwenyewe humu ndani watu hawaaminikiNakwambia ni shida. Eti mijibaba imepanga foleni km 20 inamsubirisha Jakitoo. Hii si hatari hii. My life might be in danger Carpa...
Mi mimi mdogobu bubu hasemi