Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Anaitwa nan?Nasaka mke wangu mitaa hii
Anaitwa nan?Nasaka mke wangu mitaa hii
Poa mkuu ila ilikuwa taarifa tu kuwa wasambaza like hatuna choyo na mtuPokea likes sambaza likes hamna mashindano ya nyuzi mkuu
Dah so sad[emoji22]
Muulize mwenyewe yupo humu anapita
Shimba kabila gani...??
Mtu aje Milestone basi jamani
Jina kapuni ila amevaa dela bila chupiAnaitwa nan?
usiniambiee guzman... zawadi gani hiyo? usisahau toa likes pata likesNina zawadi yako jakitoo
Nimekubali mamaaMimi muhenga
Maneno bila vitendo sawa na kunywa chai ya moto na pilipili mbuziHaina nouma naona hapa ni jazwa ujazwe!
bu bubu hasemiVu Vumbua dhahabu
What I do I do and I do it well....and that's what I will do.Mtunze sana hyo mtoto SHIMBA.... Wengi tunamkodolea macho, ukimpa tu kisogo kuna foleni nyuma yake ya km 20...!! Ntakua wa kwanza kumdandia ukijishauwa...!!!
Zawadi Ile nzuri ambayo unaipenda kuliko zote.usiniambiee guzman... zawadi gani hiyo? usisahau toa likes pata likes
Pamoja kiongoziPoa mkuu ila ilikuwa taarifa tu kuwa wasambaza like hatuna choyo na mtu
Kuku kishingoMA MA Mayai ya kukuu
Hivi hizi couple za humu ni za ukweli ukweli au?What I do I do and I do it well....and that's what I will do.
Mbona kuna mabinti wengi tu hapa? Why foleni ndefu hivi kwa Jakitoo wangu? What has she done mpaka kupangiwa msururu wa km. 20 na mijibaba midoezi isiyo na nia njema mbali na kumchezea tu? Ucheshi na uchangamfu wake na nyimbo zake romantic ndiyo zinatoa taswira hiyo potofu? What is going on?
She is a decent, loyal, extremely beautiful, educated, independent, hardworking, God fearing and a very good person and a true friend and lover. Nyie pigeni mstari tu hapo kuja kushtuka jua linazama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]