carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Cole
Unaonekana kama Le Mutuz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Pokea likes sambaza likes hamna mashindano ya nyuzi mkuuAisee nasikia huu uzi umeufikia na kuufunika ule wa makapuku forum.?!
Haina nouma naona hapa ni jazwa ujazwe!Kumbuka kutoa likes kama utaratibu wa huu uzi
We mzee karibu maana hodi nyiingiJamaniiii
Nimemuona anapambana na kale kajamaa kaharibifu.Mgonjwa hajambo kabisa leo kachangamka...hujapishana nae huko?
Na wewe ni mzee mnyatiaji mazizi ya watu?