stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Thread yetu imepoa sana urudi bwana utoe updates!
Thread yetu imepoa sana urudi bwana utoe updates!
Nilikuwa chimbo ndo naamka mkuu. Kwema?Shimba ya buyenze morning Mkuu
Santee sana kakaKaka karibu sana
It's mine
MambozSantee sana kaka
Acha hizo wewe. Ugali una hamira huo. Unatosha kabisa watu kumiUgali mdogo sana
Najipanga ntarudi tuThread yetu imepoa sana urudi bwana utoe updates!
Mmmhhh
...and counting!110k
Mgonjwa hajambo kabisa leo kachangamka...hujapishana nae huko?Asante Carpa. Sisi hatujambo. Mgonjwa wetu wa Malaria anendeleaje?
Nimechelewa kujua hili mkuu wangu.Aaa wapi. I am a man of decency, character and integrity. Usiniingize katika uwumanaiza wako aisee. Mara nyingi nimekupa hints kuwa Carpa ni so special and you didn't deserve her in the first place wala hukunisikia. Sasa wajanja wameshusha paraboz na Malaria juu wamemtwaa unahangaika. Utamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. You have to grow up real fast!