Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

19933431_1526900684036725_3315670484284080128_n.jpg
 
Method niliyotumia nahisi SHIMBA YA BUYENZE katoa siri.

Maana humu ndani aliokuwa anajua moyo wangu nimeweka wapi ni huyu SHIMBA YA BUYENZE.

Nilikuwa najifanya nalukaluka ila carbamazepine ndio kiboko yao
Aaa wapi. I am a man of decency, character and integrity. Usiniingize katika uwumanaiza wako aisee. Mara nyingi nimekupa hints kuwa Carpa ni so special and you didn't deserve her in the first place wala hukunisikia. Sasa wajanja wameshusha paraboz na Malaria juu wamemtwaa unahangaika. Utamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. You have to grow up real fast!
 
Coco amekushinda mkuu? Kaa utulie. Cheo cha kudandia dandia mali za watu hapa anacho Kichwa Kichafu. Kama unataka kujiunga huko sema tuelewe....


Mtunze sana hyo mtoto SHIMBA.... Wengi tunamkodolea macho, ukimpa tu kisogo kuna foleni nyuma yake ya km 20...!! Ntakua wa kwanza kumdandia ukijishauwa...!!!
 
Back
Top Bottom