Is mine
Kumbuka kutoa likes kqma utaratibu wa humu
Mmmhhh
Mtunze sana hyo mtoto SHIMBA.... Wengi tunamkodolea macho, ukimpa tu kisogo kuna foleni nyuma yake ya km 20...!! Ntakua wa kwanza kumdandia ukijishauwa...!!!
Is my number
Kaka karibu sanaNimerudi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Aaa wapi. I am a man of decency, character and integrity. Usiniingize katika uwumanaiza wako aisee. Mara nyingi nimekupa hints kuwa Carpa ni so special and you didn't deserve her in the first place wala hukunisikia. Sasa wajanja wameshusha paraboz na Malaria juu wamemtwaa unahangaika. Utamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. You have to grow up real fast!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] numbisa bhanaa
Kumbuka kutoa likes pia
Asante Carpa. Sisi hatujambo. Mgonjwa wetu wa Malaria anendeleaje?jakitoo pumzi ya SHIMBA YA BUYENZE nawasalimia kwa pamoja habar ya kuamka
Ugali mdogo sana