Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aah weuwee usijaribu
Hahahaha kumbe hii ndio dawa yao
Hahahaha kumbe hii ndio dawa yao
Hawezi..Anahangaika tu huyu dogo. Naona kaushindwa muziki wa Coco sasa anataka kujipachika uKichwa Kichafu kudandia dandia totoz za watu. Ashindwe na alegee!
Mkuu saivi nipo napunga upepo tu nimeletewa card hapa za mialiko ya harusi kama miaCoco amekushinda mkuu? Kaa utulie. Cheo cha kudandia dandia mali za watu hapa anacho Kichwa Kichafu. Kama unataka kujiunga huko sema tuelewe....
Achia nafasi wenzioMasomo hadi uzeeeni
Hhahahah...!! Unamchapa kofi akili ifunguke
Tulitaka ng'ombe 40 akasema atatoa hata 100 kutokana na uzuri na tabia njema ya Sammyluv. Tumekubaliana ng'ombe 65. Kichwa Kichafu mharibifu hatutaki hata kumsikia!QUIGLEY kashamchukua sammyluv na SHIMBA YA BUYENZE kapokea ng'ombe tayar
Nataka sana tuuKwan hautaki?
BokobokoWali au ubwabwa?
Hiv halima mdee katokaa
Hiv halima mdee katokaa
PoaWakuu ramadhan imeisha msisahau kula
Aisee huku ndio likes zinamwagwa kama njugu[emoji3] [emoji3] [emoji3] by the way rudi kule bna long time mdau jmnWaao welcome chimbo la likes. Mekumic pia my isidingo partner. Poa. Za wewe?