Asante sana my exHappy birthday 2 u! [emoji257] [emoji255] [emoji254] [emoji253]
Asante sana my exHappy birthday 2 u! [emoji257] [emoji255] [emoji254] [emoji253]
Mkuu ukipata kitu ulichokua unakitaka kuwa na carbamazepine ni furaha tu muda woteNaona umefurah sana mkuu, kula like hiyo
Umenena vyemaMkuu ukipata kitu ulichokua unakitaka kuwa na carbamazepine ni furaha tu muda wote
Haswaaa hilo ndio la msingiMkuu leo jibapa hatatumika kabisaaa,leo ni kazi ya ku reform ndoa yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
QUIGLEY kashamchukua sammyluv na SHIMBA YA BUYENZE kapokea ng'ombe tayar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we si sammyluv ndo wa kwako na pete ulimvisha
carbamazepine siri iliyokuwa imefichika ni hii.Kichwa atamaliza mabucha yote ila mwisho atarudi kwako tu. Mwache aruke ruke tu. Leo nasikia yuko chimbo somewhere. Akija kuibuka humu ni shida tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema Aleyn aka ben waatiiii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aleyn aka ben10...hawayuuuuu
Mlaumu ho chi minh mana alikuja na zigo la evidence kua umekamatwa huko na jimama[emoji23] [emoji23]Nimeona kabisa maana carbamazepine niliyemuacha si huyu nahisi amekunywa kitu huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mpaka arudi!!! Asipo rudi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi ufiche kichwa chako kila utakapokuwa unawaona wana kujaKichwa kichafu anajificha ili carba na Cole wapite[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
HahaaJe dhambi ya usaliti inaweza muacha mtu salama au ni swala la muda tu?![]()
Uwe na siku njema na wewe piagood day to you all