Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
One touch
andjulUwe unanipitia asubuh na jion twende mazoezin sawa eeeh
Hela nshapewa sana yaan hadi zimenichosha.Yaap mpe love ya ela yote huyo nsamaka...
Pamoja mkuu.Speed ya huu uzi ni noma
Weee!! Mtoto wa kisukuma kazaliwa leo leo,ile niende dukani kurudi yupo zizini anakamua maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo leo zamu yake kupika si unajua mamaa kazaliwa leo
Yap you better stay away coz soon nitaanza mipango ya engangement na ZEpINe wangu halafu ndoa inafuataNapita mbali ndugu yangu
10 we si ulimsogeza kwa dada nani hiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]Umesema Aleyn aka ben waatiiii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji173] u more darling...Carbamazepine wewe kwangu ni zaidi ya dreams come true I love you
Couple yetu ilikuwa tishio maana ipo moyo zaidi kuliko kupost humu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman mbona wanaume hampendani hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani hao ndo walileta ushahidi humucarbamazepine siri iliyokuwa imefichika ni hii.
Ila SHIMBA YA BUYENZE ndio alikuwa anafahamu
carbamazepine naomba urudi hata kwa kutoroka