Card kanipa sammyluv kuja kucheza sebeneTulitaka ng'ombe 40 akasema atatoa hata 100 kutokana na uzuri na tabia njema ya Sammyluv. Tumekubaliana ng'ombe 65. Kichwa Kichafu mharibifu hatutaki hata kumsikia!
Mwenye mali naona umerud...Coco amekushinda mkuu? Kaa utulie. Cheo cha kudandia dandia mali za watu hapa anacho Kichwa Kichafu. Kama unataka kujiunga huko sema tuelewe....
H ahaa haa kuolewa na Doctor hakufanyi usiumwe!
Gonga likesHiv halima mdee katokaa
Hahahaa na kweliH ahaa haa kuolewa na Doctor hakufanyi usiumwe!
YeuwiiMtoto mtukutu hushinda bila kunya.