Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

90bcf3c30377422207f7f92e2c1bf7b7.jpg
Sabasaba hiyo
 
Mtunze sana hyo mtoto SHIMBA.... Wengi tunamkodolea macho, ukimpa tu kisogo kuna foleni nyuma yake ya km 20...!! Ntakua wa kwanza kumdandia ukijishauwa...!!!
Jakitoo, what is going on bebi? Mbona foleni ndefu hivi ya hii mijibaba midowezi mizembe miharibifu? Km 20? Real? Si nitakuja kuuliwa mimi?
 
What I do I do and I do it well....and that's what I will do.

Mbona kuna mabinti wengi tu hapa? Why foleni ndefu hivi kwa Jakitoo wangu? What has she done mpaka kupangiwa msururu wa km. 20 na mijibaba midoezi isiyo na nia njema mbali na kumchezea tu? Ucheshi na uchangamfu wake na nyimbo zake romantic ndiyo zinatoa taswira hiyo potofu? What is going on?

She is a decent, loyal, extremely beautiful, educated, independent, hardworking, God fearing and a very good person and a true friend and lover. Nyie pigeni mstari tu hapo kuja kushtuka jua linazama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ivyo vya mwisho ndo vinavyomletea nzi...!! unamfata kwa sababu hiyo., si tushagundua WIFE MATERIAL...!!
 
What I do I do and I do it well....and that's what I will do.

Mbona kuna mabinti wengi tu hapa? Why foleni ndefu hivi kwa Jakitoo wangu? What has she done mpaka kupangiwa msururu wa km. 20 na mijibaba midoezi isiyo na nia njema mbali na kumchezea tu? Ucheshi na uchangamfu wake na nyimbo zake romantic ndiyo zinatoa taswira hiyo potofu? What is going on?

She is a decent, loyal, extremely beautiful, educated, independent, hardworking, God fearing and a very good person and a true friend and lover. Nyie pigeni mstari tu hapo kuja kushtuka jua linazama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
babyyyy [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom