Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Siku hizi mi sipati notificationMbio kwai
Siku hizi mi sipati notificationMbio kwai
Hivi hizi couple za humu ni za ukweli ukweli au?
Nimebeba mimi umeona eeh110k
Usiwabanie riziki we acha wajaribu bahati zao.What I do I do and I do it well....and that's what I will do.
Mbona kuna mabinti wengi tu hapa? Why foleni ndefu hivi kwa Jakitoo wangu? What has she done mpaka kupangiwa msururu wa km. 20 na mijibaba midoezi isiyo na nia njema mbali na kumchezea tu? Ucheshi na uchangamfu wake na nyimbo zake romantic ndiyo zinatoa taswira hiyo potofu? What is going on?
She is a decent, loyal, extremely beautiful, educated, independent, hardworking, God fearing and a very good person and a true friend and lover. Nyie pigeni mstari tu hapo kuja kushtuka jua linazama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekula chumvi acha tuu.... kila kitu kinachomuhusu muhenga nimepitiaUhenga umeanza lini mtoto wa juzi wewe
Nikuletee saa ngapichaaa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuuweka tu huu ugali kwenye sahani namna hiyo inahitaji ufundi.
Hahahah watawezana kabisaKichwa njoo uchukue mchumba huyu nimekutafutia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi mi sipati notification
wasikusumbue akili baba wanatikisa kiberitiJakitoo, what is going on bebi? Mbona foleni ndefu hivi ya hii mijibaba midowezi mizembe miharibifu? Km 20? Real? Si nitakuja kuuliwa mimi?
Carpa tulia. Yaonekana bado mapenzi ya Kichwa yanapwita pwita eeh? Huyo Cole naye kulala lala tu. Najua ana Malaria lakini mijibaba ya hapa midowezi haijali kama unaumwa ama la. Hata kama mtu unakata roho yenyewe ipo tu inamendea. Mwamshe!Twende nikupeleke 7 7 basi ukapoze machungu[emoji23] [emoji23] mana Cole kalala saiv
Usisahau kutoa piaNaombeni like
Kumbe leo kulikuwa na challenge.Nimebeba mimi umeona eeh
uki like na mimi na like sipendagi ujinga mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mijibaba minyatiaji haiishi humu ndaniWhat I do I do and I do it well....and that's what I will do.
Mbona kuna mabinti wengi tu hapa? Why foleni ndefu hivi kwa Jakitoo wangu? What has she done mpaka kupangiwa msururu wa km. 20 na mijibaba midoezi isiyo na nia njema mbali na kumchezea tu? Ucheshi na uchangamfu wake na nyimbo zake romantic ndiyo zinatoa taswira hiyo potofu? What is going on?
She is a decent, loyal, extremely beautiful, educated, independent, hardworking, God fearing and a very good person and a true friend and lover. Nyie pigeni mstari tu hapo kuja kushtuka jua linazama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza majibu bageshi? Humu na ndoa zitakuja kufungwa humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hizi couple za humu ni za ukweli ukweli au?
Hahahahah
Kwa nini zisiwe za kweli,,,??