Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England wamefungiwa kushiriki michuano ya Ulaya ya ngazi ya klabu na kutozwa faini ya Euro 30 milioni (Sh. 75 bilioni) kwa kosa ‘siriasi’ la kukiuka kanuni za Uungwana wa Matumizi ya Fedha na kushindwa kuonyesha ushirikiano na shirikisho hilo la vyama vya soka vya Ulaya katika upelelezi wa jambo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…