moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mzee alimuuliza umejifunza nini kijana alinyamaza bila jibu ndipo yule Mzee alipomuambia. Katika maisha unapochukua kisu na kumchoma mtu kisha ukakitoa hata kama huyo mtu akikusamehe lakini bado tobo la kisu litaendelea kubakia tu. Ingawa umetoa misumari yote katika huu ukuta wa mbao lakini bado unaona kuna matundu, wewe umeondoka na misumari yako lakini umeuachia ukuta matundu na kamwe hautarudi katika hali ya kawaida. Hivyo hivyo, unapotaka kumpiga mkeo basi kumbuka huu ukuta kuwa, hata kama utakuja kumuomba msamaha na kukusamehe lakini maumivu, kuvunjika moyo na makovu kamwe hayawezi kuisha. Nirahisi wewe kusema nisamehe kama ilivyorahisi wewe kungβoa misumari lakini kwake ni ngumu kuzima matundu ya maumivu uliyomsababishia hivyo kila siku kumbuka kuwa anakusamehe lakini bado anabaki na matundu. Kijana aliondoka akiwa amejifunza kitu, alirudi na kumuomba tena mkewe msamaha na kila mara hasira zilipompanda alijizuia, alikumbuka mashimo aliyoyaacha kwenye ukuta na kuzuia hasira zake. Hakumpiga tena mkewe, kila alipokosea walieleweshana kama watu wazima, hapo alijikuta anafuraha zaidi na mkewe wanaelewana zaidi akimsikiliza kuliko kipindi kile alivyokua anampiga. KAMA UMEMUELEWA MZEE BASI
Sawa binti mpole..nikipata nitakujurishaBwana jeziiii,ukipata ka application kazuri ka kudownload drama za filipino unikumbukee
Uliwahi kumpiga mkeo?
Naomba kaisome mpendwa
awesomeSawa binti mpole..nikipata nitakujurisha
Leo kuna maswali ya kichokozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliwahi kumpiga mkeo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Tupia ile kitu anti anapenda ndo upewe ujuzi
#huaUNafuaAuUnafuliwaNguo[emoji23][emoji23]
Kakimbia eti ningendako na Davet mshawahi kuwapiga wifi zangu hukoLeo kuna maswali ya kichokozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliwahi kumpiga mkeo?
Leo kuna maswali ya kichokozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzeeee wa liverrrrrrrrr uje basi tukuone
Pongezi kwako uendelee hivyo na moyo wa hurumaSikuwahi kufanya hivyo,
Ila mfano wa hadithi hiyo ni mrefu zaidi ya mume na mke.
Hapa jf kuna watu wanapitia changamoto mbalimbali kwa kukosa subira na uvumlivu, iko hivyo mitaani, mahali pa kazi nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mpendwa, sijawahi kufanya hvyoKakimbia eti ningendako na Davet mshawahi kuwapiga wifi zangu huko
Pongezi kwako ila kuna siku nilimuona bae wako amevimba shavu akasema uli.... πππHapana mpendwa, sijawahi kufanya hvyo
Dah hii picha inasikitisha sana rafiki anayegeuka adui
Pongezi kwako uendelee hivyo na moyo wa huruma
Dah hii picha inasikitisha sana rafiki anayegeuka adui
Hakika mpendwa