Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado sikukuu nguo mpya lazima ununuliwe raha iliyojeUlastborn kero sana eti mtu umeshakua mkubwa ila ukila bado unaulizwa kama umeshiba
😀😀😀 Kumbe adi Kigoma tayari? Hivyo hivyo kidogo kidogo mara umevuka boda mpaka utafika kwa watu wa ndoto zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhali hauifahamu ya kigoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhali hauifahamu ya kigoma
Hahah! Ndio hivyo muda mwingine unaulizwa kama una nguo au ununuliwe basi vitu vingine inabidi uwe unakataa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado sikukuu nguo mpya lazima ununuliwe raha iliyoje
Mkatalunya na leo tutegemee Hat trick ya Assist?
Mkatalunya na leo tutegemee Hat trick ya Assist?
InshallahYeah Leo lazima afanye maajabu
Binti Mpole asione hii