niliweka uzi wangu wa kutafuta mganga, nashangaa bila sababu za msingi umetolewa makusudi. Jamii forum nachelea kusema imekua jamvi la wahuni tu, kwani tunalazimishana kuabudu mmachotaka nyie au mbona mimi sijaelewa
Nimeshangaa kabisa, jamii forums imekosa credibility kabisa, this is nonsense
Na naona tu ufutwe huu mtandao hauna maana yoyote, mbona wengine wakiweka wanafanya ngono zembe au kula tunda kimasihara mnaaacha nyuzi kama hizo? Au sababu mnaona mtapata wafuazi wengi watakaojiunga jamii forums kisa huo uzi , kwanini msiuondoe huo unaochangia kueneza ukimwi, naona nyuzi zingine za katerero mara nini sijui hamziondoi, mnaondoa nyuzi yangu ambayo ni suala la kiimani, na katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka.
NAONDOKA JAMII FORUMS. I CANT ACCEPT THIS KIND OF NONSENSE. NA NAWAAMBIENI HAMTADUMU NYIE KWA UJINGA HUU.
Sent using
Jamii Forums mobile app