ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hapo kila dawa ipo....
He!! wewe.Unataka Kuiona Dunia? Vua Miwani…
Unachokiona sasa hivi sio dunia halisi, bali ni dunia unayotaka kuiona wewe.
😂😂😂 nazingua bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
Jamaa anakata maji kama mamba... 😂 😂 😂
Huo mtoko wako ni One way au Go and Return?Kule kule bro, nafikiri kutoka wiki hii mwishoni
Duh! hayo ni majaaliwaa