ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
😂 😂 😂 😂 😂
Kijanii cha ukweli...
Sawasawa...8. Kutokupoteza muda.
Watu wenye mafanikio wanaepuka sana kupoteza muda bila ya kufanya jambo la msingi. Watu wengi wenye mafanikio wanaangalia tv sio zaidi ya saa moja kwa siku.
Hapo sasa umewagusa wengi 😂 😂 😂 😂
Nataman khantwe aulize swali lake daah nimekosa ubuyu hapa