ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Steph Curry huyu? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Tulia basi bro tupate swali husika. Tupo wengi tunaojilipuaga mpaka tumewekwa ignore list ya jf sangomaNdo maana nikasema ishu zingine watuachiage akina mimi ambao hatuna heshima inayoweza kuvunjwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Umegeuka Socrates mara hii?Unataka Kuiona Dunia? Vua Miwani…
Unachokiona sasa hivi sio dunia halisi, bali ni dunia unayotaka kuiona wewe.
Hapo roho inakuuma? Esta bana [emoji16][emoji16][emoji16]Nataman khantwe aulize swali lake daah nimekosa ubuyu hapa
Hiyo orgasm anayozingumzia inatokea wakati wa kuzamiwa au wakati wa tendo lenyewe? Kama ni wakati wa kuzamiwa baada ya hapo kutakuwa na tendo tena? Si litageuka karaha kwa mhusika?Be free hapa,hatutakuuliza kabisaaa