Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Mambo ya kudeki bahari
Kwa sisi wanaume kufika siyo tatizo kivile so wasiwasi wetu huwa ni nyie. Ukifika wewe mimi hata itokee nisifike (jambo ambalo ni gumu sana) ni sawa tu...Sasa hapo si anakuwa amefika mmoja The Don, yaani mwenzio anakuwa amefika anaanza upya wakati we hata hujaanza safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo eeh?Kwa sisi wanaume kufika siyo tatizo kivile so wasiwasi wetu huwa ni nyie. Ukifika wewe mimi hata itokee nisifike (jambo ambalo ni gumu sana) ni sawa tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo unakua umemaliza kila aina ya jibu alikokua ameliandaa mhusikaMimi huwa nawaambia tu kuniona kwako wa maana kulikuwa kunaniongezea shngapi kwenye akaunti yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa jamaa wa kenya reaction yake hakufika kabisa. Body language huwa inaonyesha mengi ukiwa mtaalamu unaelewa vizuri tu kama ulipatia au ulikoseaHili swali ni lenu kwa sababu sisi mara nyingi tunabahatishaga tu hasa kwenu mabinti wa Kiafrika ambao kamwe hamfungukagi. Hata kama hamfurahii mnazuga tu na kuplay along. Wazungu wenyewe wako open na unapewa code zote laivu hata njia za mkato unaonyeshwa....
Mimi hata sijui kama huwa ni karaha kuendelea mkishafika muendako au mkishafika ndiyo safari inaanza upya kwenda kilele kingine kwenye raha zaidi. Miili yenu kwa kweli ni utata mtupu tofauti na sisi kila kitu ni open book...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jirani bana🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️
Wuhuuuu [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Theeenksi Esta kwa jibu safi ajabu.
Shukrani pia
Saiv ni kizazi cha kila mtu abebe mzigo wake. Jambo likitokea ni maumivu kwa familia husika tu wengine wanaona hayawahusu. Ni binti anna pekee aliyefanikisha kuwahusisha wengi.![]()
Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa
A girl who was allegedly defiled by her uncle, Patric Ayoyi has committed suicide by hanging herself. Her body was found dangling from the roof of her rural home in Sabatia, Vihiga County. Police have confirmed the incident, saying the girl who heated the internet on Sunday for her bedroom...www.jamiiforums.com
Comments za wadau kwenye huu uzi zinasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nadhani ni majuto. Kama alivyosema mganga mkuu wetu hapa JF pengine ilikuwa ni ishu za matambiko au shurti fulani. Mwishoni pale jamaa anasikitisha sana ...Ila kwa jamaa wa kenya reaction yake hakufika kabisa. Body language huwa inaonyesha mengi ukiwa mtaalamu unaelewa vizuri tu kama ulipatia au ulikosea
Na shati lake lile lileHuyo nadhani ni majuto. Kama alivyosema mganga mkuu wetu hapa JF pengine ilikuwa ni ishu za matambiko au shurti fulani. Mwishoni pale jamaa anasikitisha sana ...
View attachment 1360883