moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tunaishi jamii ya ajabu sana aiseeSaiv ni kizazi cha kila mtu abebe mzigo wake. Jambo likitokea ni maumivu kwa familia husika tu wengine wanaona hayawahusu. Ni binti anna pekee aliyefanikisha kuwahusisha wengi.
Sasa kama amejuta si angefuta video sasa mweehNa shati lake lile lile
Bro hili tukio hakuna uchawi hata kidogo bali ni nguvu ya nyege ile kitu hatari inapelekesha ila ikiisha majuto yake ni makubwa
Jamaa kajuta kwa mengi hapo
Hapo ndipo panaposhangaza