Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli kumbe...

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Feb. 18, 2020, katika Ofisi ndogo ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole[emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kila mmoja anasema lake
Screenshot_20200218-143119.jpeg
 
Back
Top Bottom