myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sana 😂 😂 😂 😂Dunia na Maajabu yake
Asante 🙏Poleni mlio kwenye daladala na bajaji
Inasemekana mbuni walikuwa na utaalamu wa kukwepa risasi 😀😀😀Sana 😂 😂 😂 😂
AmeenMungu atupe afya na uzima...
Aisee....Hakuna hata mtu mmoja aliyezaliwa ili aje kuwa kama mtu mwingine, ulizaliwa uwe wewe.
Labda mbuni walikuwa wengi na askari dhaifu....Inasemekana mbuni walikuwa na utaalamu wa kukwepa risasi 😀😀😀
Duh! enzi hizo...
Safiii
Wapi hiyoo...wako vizuri
Kila mmoja anasema lakeNi kweli kumbe...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Feb. 18, 2020, katika Ofisi ndogo ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole[emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Wanasiasa sio kabisa....Dkt. Mashinji in da hausi [emoji16]
View attachment 1361666
Asante [emoji120]
Salama mpendwaSalaam bibie