Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji106]wacha nikapige kuraTuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards
Habari za jioni wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro. Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende wote maana pameshachafuka humu πββοΈπββοΈπββοΈ
Seoul korea kusini,za wewe?
Google patric ayoyi video utaipataππ video ya huyo mtoto inapatkana wapi wakuu
Mnaniachaje bro?Twende wote maana pameshachafuka humu πββοΈπββοΈπββοΈ
[emoji23]Twende wote maana pameshachafuka humu [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jana mlishikishwa mikoba ya liVAR naona.πππSeoul korea kusini,za wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa mbagala tunawasalimia sanaSeoul korea kusini,za wewe?
Uanaharakati ni kazi ya kujitoa roho. Cha muhimu tu ujue unachokiharakatikia na uwe umejiandaa kwa lo lote litakalokupata...
Tulia kijana hata salamu hamna unaibuka tu na lawama daaaaaaaahhJana mlishikishwa mikoba ya liVAR naona.πππ
Mmmh habari ya mujini siku hizi ni buza hamia huko uende na fashen haha
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahahaha, salamu haitabadilisha lolote.Tulia kijana hata salamu hamna unaibuka tu na lawama daaaaaaaahh