moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuna wakati baadhi ya vitu vinafundisha. Zamani kulikuwa na mhariri mmoja maarufu, alikuwa anatumia robo ya ukurasa wa mbele na ukurasa wote wa katikati wa gazeti la kila jumapili la kampuni yake kumtukana JK wakati ule akiwa madarakani. Alifanya hivyo muhula wote wa mwisho wa JK.
Huyo mwandishi hivi leo ni mkimbizi. Alijaribu kurudia kufanya kazi kwa mazoea, mambo yamemshinda.
Kuna siku nitaingia Library nije na kopi ya kazi zake
Huyo mwandishi hivi leo ni mkimbizi. Alijaribu kurudia kufanya kazi kwa mazoea, mambo yamemshinda.
Kuna siku nitaingia Library nije na kopi ya kazi zake
Uanaharakati ni kazi ya kujitoa roho. Cha muhimu tu ujue unachokiharakatikia na uwe umejiandaa kwa lo lote litakalokupata...