Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Biashara Matangazo
IMG_20200110_162447.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwingine amezaliwa kufundisha wengine tu, popote alipo ualimu wake utaonekana tu, yaani atafurahia kufundisha tu hata kama hamna kipato anapata lakini yeye kuna amani anaipata ndani mwake, kuna kile kitu unaweza kufanya bila kutanguliza malipo, kile ambacho usipofanya unasikia kama una deni, unaona haujatimiza wajibu wako sawasawa.
 
Pengine baada ya kugundua kusudi lako ni lipi, unaweza kukutana na vikwazo vingi katika kuliishi hilo kusudi. Ndugu yangu tambua kwamba ni wewe na Mungu wako mnaelewa hilo kusudi hivyo usitegemee kila mtu akuelewe kirahisi, usishangae kuona uliotegemea wakuelewe wasipokuelewa
 
Waliona hivyo , hawakubahatika kuona kile kimewekwa ndani mwangu Lakini mimi ndio nilijua kwa nini naandika, maana naamini siandiki ili kupoteza muda wangu bali kuna mtu akisoma anapata uwezo wa kusogea hatua moja mbele, kuna badiliko linatokea ndani mwake, kuna maisha ya mtu yanaguswa na kumfanya awe mtu bora zaidi, na ndiyo furaha yangu hiyo.
 
Back
Top Bottom