Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mara nyingi pia ni dehydration tu. Kunywa maji ya kutosha ni tiba tosha kwa maumivu mengi ya kichwa. Kujishindilia panadol kunazidi tu kuumiza baadhi ya viungo hasa ini na figo.
Funzo: Ukiona kichwa kimeanza kukugonga, hebu kunywa glasi mbili za maji halafu usubirie nusu saa hivi ndiyo umeze makemikali....
Funzo: Ukiona kichwa kimeanza kukugonga, hebu kunywa glasi mbili za maji halafu usubirie nusu saa hivi ndiyo umeze makemikali....