Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Upande wake Jermaine Jenas ambaye aliwahi kutamba akiwa na klabu za Newcastle United na Tottenham Hotspur naye alimsifia nyota huyo kwa kusema amekuwa akicheza vizuri.
"Ameonyesha ukomavu kwa umri wake (19)," alisema.
"Ameonyesha ukomavu kwa umri wake (19)," alisema.