myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee....Liverpool ilishindwa kupiga hata shuti moja lililolenga goli dhidi ya ukuta bora wa Atletico. Hii ni mara ya pili kwa Liverpool kushindwa kumjaribu kipa wa timu pinzani tangu Klopp alipoichukua timu hiyo 2015.