Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hali inazidi kuwa mbaya idadi inaongezeka.thread bora kwa mwaka 2020 tokea kuanza kwake.....
heshima kwake huyu mdau kwa kutuhabarisha kinachojiri hukooo kwa wachina tambi...
Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)
Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...www.jamiiforums.com
hope watapata tiba mbadala....Hali inazidi kuwa mbaya idadi inaongezeka.
Sembe haiwezekani labla urojo usiopendwa na wengihope watapata tiba mbadala....
unaweza kukuta dawa ya corona ni sembeeeeeeeee.
hivi wachina hawajaliwaza hili?
Nyumba ni choo asikuambie mtu..
Kwema bro? Hope uzima utakuwepo pande hizo, tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai hadi dakika hii.
Mungu ni mwema siku zote!!